Mjumbe wa Bodi ya SOS, Daudi Makobore akisaini mkataba wa utambulisho ( MOU) kati ya SOS na Tnzania Tea Blanders kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Dk. Alex Lengeju (Director of SOS Villages, Rita Khuranga (National Director SOS, Dk. Daudi Makobore (Bord member SOS) (wa mwisho kushoto) wakipokea mfano wa hundi kutoka Mr. D.Ravi Kumar-Chief Finance Officer Tanzania Tea Blanders, kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS, jijini Dar es Salaam