JENGO LA MASHINE MPYA YA KUSAGA UNGA WA SEMBE YA KWAYA YA AIC BUZURUGA WANA WA TUNDA LA ROHO KUZINDULIWA JUMAPILI YA TAREHE 7/10/2012 KATIKA KANISA LA AIC BUZURUGA ILIPO MASHINE HIYO.
Jengo la Mashine ya kwaya ya Tunda la Roho Aic Buzuruga kama linavyoonyeshwa katika picha hapo. Hili ndilo jengo la mashine ambalo litazinduliwa Jumapili tarehe saa saba mwezi wa kumi mwaka huu katika kanisa la Aic Buzuruga Mwanza.