Naibu Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake,Dr Asha-Rose Migiro(wa nne kulia)akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja baada ya kufungua mkutano wa mawaziri wa serikali za mitaa wa Afrika Mashariki mjini Arusha. |
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa mawaziri wa serikali za mitaa wa Afrika Mashariki kwenye hoteli ya Impala mjini Arusha |
Naibu Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake,Dr Asha-Rose Migiro(wa tatu kushoto)akisalimiana na Afisa elimu Manispaa ya Arusha,Omary Mkombole mara baada ya kuwasili kufungua mkutano wa mawaziri wa serikali za mitaa wa Afrika Mashariki mjini Arusha. |