Friday, August 17, 2012

UZIO WA KANISA LA MT. ANTHONY WA PADUA MBEYA WAVAMIWA NA WAUZA MITUMBA


Uzio wakanisa la Mt anthony wa padua mbeya umevamiwa na wafanyabiashara ya mitumba na kutundika nguo na mashuka katika uzio huo
Huu ni upande wa barabara ya kuingia katika hospitali ya rufaa mbeya
Kama unavyoona wateja wakiendelea kuchagua nguo katika uzio huo wa kanisa
Wengine wamepumzika kusubiri kuwaona wagonjwa wao waliolazwa katika hospitali ya rufaa
Kwa Hisani ya Mbeya Yetu