Friday, August 17, 2012

Mwanahabari Hassan Mhelela Amefiwa Na Bibi Yake


Upande wa mama. Mazishi yalifanyika jana jioni kwenye makaburi ya Semtema, Iringa. Hassan Mhelela ni mwanahabari anayefanyia kazi na BBC, Dar es Salaam.  Hassan ni wa kwanza kulia kwenye mstari wa mbele picha ya juu.