
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya
wa India hapa nchini Mhe Debnath Shaw leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa India hapa nchini Mhe
Debnath Shaw baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Ikulu jijini
Dar es salaam.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya
wa Hispania hapa nchini Mhe Luis Manuel Cuesta Civis leo Ikulu jijini
Dar es salaam.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa Hispania hapa nchini
Mhe Luis Manuel Cuesta Civis baada ya kupokea hati zake za utambulisho
leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilal aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea
nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia
Mjema katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam leo muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea jijini
Maputo,nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC.

Rais
Jakaya Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Tanga
waliojitokeza kumsindikiza baada ya kushiriki kwenye futari
waliyomwandalia jana jijini humo.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kushiriki katika futari
aliyoandaliwa na wananchi wa Jiji la Tanga jana Agosti 15, 2012.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya
kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Jiji la Tanga jana
Agosti 15, 2012.PICHA NA IKULU.