Wednesday, August 22, 2012

MUFINDI WAANZA KUTENGENEZA BARABARA



b arabara ya Mafinga Kibao wilayani Mufindi ikitengenezwa sasa japo kuna tetesi kuwa Rais Kikwete anategemewa kufanya ziara katika wilaya hiyo kwa ajili ya kuzindua mradi wa umeme maeneo ya unaofadhiliwa EU katika eneo la Mwenga


Kwa Hisani ya Francis Godwin