Tuesday, March 15, 2016

WAFANYAKAZI WA BENKI YA EXIM TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA WANAWAKE DUNIANI



Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiwa kwenye hali ya furaha wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na benki hiyo kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Ulimwenguni iliyofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.