Wednesday, July 25, 2012

Taswira:Waziri Mpya wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman,


Pichani ni Waziri Mpya wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman,muda mfupi baada ya kula kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Ikulu ya Zanzibar Jana