Mdau Stanslaus Z. Mlanzi ambaye pia ni Chief Editor wa St. Mary's Visiga Jr. Seminary akipokea zawadi kutoka kwa mdogo wake wakati wa mahafali ya kumaliza kidato cha nne yalioanyika hapo hapo shuleni mnamo tarehe 01/10/2011 na kuudhuliwa na wageni mbalimbali.
Hapo mdau Stanslaus Z. Mlanzi akiwa na mama yake wakati wa mahafali hayo. nani kama mama?