Thursday, April 28, 2011

Moyo Mpweke_Anatafuta Mwenza

Jina:D Lukumani

Anatafuta: Mwenza wa kuishi naye

Maelezo yake:

Habari zenu waungwana,mimi najitokeza kutafuta mwenza ambae tutakuwa kitu kimoja kimaisha na kujenga familia bora yenye furaha, napenda mwenza awe kuanzia miaka 18 hadi 45,sina ubaguzi wa umbo,elimu,rangi wala kabila.Napendelea kuwa mwema,mpole,kujali,kuheshimu,kushauriana, na mambo yote mema.


Kwa alie makini anaweza kumwandikia kwa e mail hapo chini
E mail yake:dlukumani@yahoo.com