Monday, September 20, 2010

Ofisini Mnaboa

Leo nilienda kutembelea sehemu kwa ajili ya kuulizia masuala ya biashara za hapa na pale. Jamani watu wanamajibu ya mabaya sana kiasi kwamba yanakatisha tamaa. hivi wewe uliekwenye hicho kiti hiyo ofisi ni ya wazazi wako? Au unaubia mkubwa sana wa hiyo ofisi? Wewe kumbuka kuwa hata mimi ninayoofisi ila tunazidiana maadili.

Inonekana hata sheria za maadili ya kazi huzijui ndio maana unamjibu mtu bila kujua kesho utakutana naye wapi.

Hasa nyie mlopewa kazi kwa ajili ya ainafulani ya upendeleo ndio hasa mna nyodo.

Ujinga mtupu- Acha hizo wewe.