Saturday, September 25, 2010

Nyoka balaa huyu





Huyo ni nyoka ambaye tulimwona live karibia na Mawe ya hapa Mwanza. Watoto kama wangekuwa karibu tungeandika maumivu.

Jamani tuwe waangalifu watoto wanapoenda kucheza. Maana wakikutwa na reptilia kama huyo inakuwa balaa. Mara huna dawa karibu kama unavyojua tena Hospital zingine ndio kasheshe. Siwezi kueleza mengi malizia basi hata weweee.