IMG-20140814-WA0000
'Sensei' Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya ulipuaji wa mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha).