Watoto wa Mtani Mjini Sumbawanga Wakithili, Kuwa wengi na wanao ongezeka kwa kasi katika Mji wa Sumbawanga, Globu ya Jamii kupitia Ripota wetu kuzunguka katika Mji huo wa Sumbawanga Mjini na kujionea hali halisi jinsi ambavyo watoto Watokao Vijiji vya Jirani na Mji huo wa Sumbawanga wanao kuja Mjini kwa lengo la kujishughulisha na Shughuli ndogo ndogo kwani Asilimia kubwa ya Watoto hao ni walio Ondoka Nyumbani kwao kutokana na Kukimbia Familia zao, Kutafuta maisha Mjini na Wengine miongoni mwao ni wale walio poteza Wazazi wao lakini Asilimia kubwa ya Watoto hao wana Wazazi wao na wamewaacha Vijijini kwao na Wengine walio telekezwa na Familia zao.
Baadhi ya Watoto hao wakiwa katika jitiada za kuokota MakopoMtaani kuajili ya kwenda kuuza .
Baadhi ya Watoto hao wakiwa Nje ya Eneo la Duka wakiendelea na mambo yao.
Watoto hao wakiendelea kuzunguka Mitaani katika shughuli zao za kila siku.
PICHA NA MR.PENGO MMG.