Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Ofisi ya Bunge, Owen Mwandumbya akihutubia alipokuwa akizundua rasmi Bunge la Vijana la mwaka 2016, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma jana.
Mkutano huo ni wa tatu toka kuanzishwa kwa Bunge la Vijana chini ya mradi Legislatures Support Project(LSP). Picha na Ofisi ya Bunge.