Wednesday, May 25, 2016

YALE YALEEE.....: BASI LINGINE LA MWENDOKASI LAPIGWA PASI MCHANA KWEUPEEEE...



YALE YALEEE.....: BASI LINGINE LA MWENDOKASI LAPIGWA PASI MCHANA KWEUPEEEE...



Basi la mwendokasi T 123 DGW lionekanavyo baada ya kupigwa pasi na Gari ndogo yenye namba za usajili  T543 CUQ , katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro, Jijini Dar es Salaam leo. Hakuna aliyeumia (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Gari hiyo inavyoonekana baada ya kulipiga pasi Basi la Mwendokasi.
Mmiliki wa Gari hilo  baada ya tukio.