Tuesday, April 12, 2016

Wafanyakazi NMB Wasaidia Wagonjwa Muhimbili na Sinza Hospitali



Wafanyakazi NMB Wasaidia Wagonjwa Muhimbili na Sinza Hospitali
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki              ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine ya kumsaidia              mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji              wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista              Devota Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa              waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi.              Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni ENT Seti mbili kwa ajili              ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya              kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital              thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton              buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za              maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto              kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi. Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini              Dar es Salaam wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi              'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota              Ndendeje (katikati) walipotembelea wagonjwa waliolazwa              katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi.              Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya              kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction              Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio,              koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye              pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers,              sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za              miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga              na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na              chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (katikati) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki              ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya seti za vifaa              vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia              wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya              Sinza, Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla              ya Seti 100 za vifaa hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa              Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na              kugawiwa kwa wahusika.  Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika.Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James              Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya              vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika              Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es SalaamMeneja Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije              akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya              kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali              ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam.  Meneja Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki              ya NMB Kitengo cha Biashara (kulia) jijini Dar es Salaam              wakikabidhi seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito              walipotembelea Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina              juzi Dar es Salaam.  Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara (kulia) jijini Dar es Salaam wakikabidhi seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito walipotembelea Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina juzi Dar es Salaam.Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James              Meitaron (kulia) akipokea neno la shukrani toka kwa mmoja wa              wagonjwa katika Hospitali ya Sinza, Parestina mara baada ya              kutoa misaada. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akipokea neno la shukrani toka kwa mmoja wa wagonjwa katika Hospitali ya Sinza, Parestina mara baada ya kutoa misaada.Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa              Benki ya NMB, James Meitaron (wa tatu kushoto) akikabidhi              Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi.              Agness Mgaya (kulia) baadhi ya seti za vifaa vya              kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishukuru ni Kaimu              Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla              ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa              Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na              kugawiwa kwa wahusika.  Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (wa tatu kushoto) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness Mgaya (kulia) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishukuru ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika.Mkuu wa Kitengo cha              Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akikabidhi              Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi.              Agness Mgaya (kushoto) baadhi ya seti za vifaa vya              kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishuhudia ni Kaimu              Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla              ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa              Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na              kugawiwa kwa wahusika.  Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness Mgaya (kushoto) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishuhudia ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika.Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa              Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi Kaimu              Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin (wa pili              kulia mbele) sehemu ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa              wajawazito. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na              Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar              es salaam na kugawiwa kwa wahusika.  Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin (wa pili kulia mbele) sehemu ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha              Hazina wakiwa wamebeba sehemu ya misaada waliotoa katika              Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakiwa wamebeba sehemu ya misaada waliotoa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili.Ichaji wa Wodi 'A'              ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota              Ndendeje (kulia) akiwashukuru sehemu ya wafanyakazi wa Benki              ya NMB Kitengo cha Hazina mara baada ya kukabidhi misaada na              zawadi kwa wagonjwa walipotembelea wodi hiyo. Miongoni mwa              misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto              anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti              mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa              watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer              machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya              vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet              papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi              nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (kulia) akiwashukuru sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina mara baada ya kukabidhi misaada na zawadi kwa wagonjwa walipotembelea wodi hiyo. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki              ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakikabidhi baadhi ya              misaada kwa Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa              Muhimbili, Sista Devota Ndendeje walipotembelea wagonjwa              waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa              Muhimbili juzi. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakikabidhi baadhi ya misaada kwa Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi.Baadhi ya              Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina waliotembelea              wagonjwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa              Muhimbili na kutoa misaada na zawadi kwa wagonjwa katika              picha ya pamoja na vifaa vyao. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina waliotembelea wagonjwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili na kutoa misaada na zawadi kwa wagonjwa katika picha ya pamoja na vifaa vyaoMmoja wa              Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kushoto)              akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa              waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa              Muhimbili juzi.  Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kushoto) akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi.Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya              NMB Kitengo cha Hazina akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi              ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali              ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni              pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua              vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo              vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia              watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer              14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds,              miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa              kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi,              juice, biscuits na chama. Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki              ya NMB Kitengo cha Hazina (kulia) wakiwakabidhi zawadi              mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya              Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa              misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto              anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti              mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa              watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer              machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya              vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet              papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi              nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kulia) wakiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya              NMB Kitengo cha Hazina akisalimiana na baadhi ya watoto              wanaotibiwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa              Muhimbili juzi walipotembelea wagonjwa hospitalini hapo.  Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina akisalimiana na baadhi ya watoto wanaotibiwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi walipotembelea wagonjwa hospitalini hapo.