Pamoja na kupigwa marufuku   mara kadhaa wachimabji hawa bado wameendelea kuchimba mchanga katika Mto Mbezi   huku wakijaza magari makubwa yasiyo na idadi na tena wakifanya kazi hii mchana   kweupeeee pyeeee  bila hata kuwa na woga. 
  Wachimbaji hawa wamekuwa   wakifanya hivi kila inaponyesha mvua kubwa inayokusanya mchanga mwingi kutoka   eneo jingine kusogeza eneo hili, na wao wamekuwa wakiuhamisha mchanga huo kwa   kuuchimba na kuupakia katika magari na kisha kwenda kuuza. Zoezi hili   linachangia mmomonyoko mkubwa wa kingo za mto huo ambako nyumba kibao   zipo.
    Wachimbaji wakiendelea na   kazi...
     
