|  | 
| Maggid Mjengwa | 
Karibu katika mahojiano   mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii,   Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali   kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na   mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania.
  Huu ni mfululizo wa   mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa   mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki
Karibu
Kwa maoni, tafadhali   wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction at gmail dot   com
 
