Askofu msaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, Mathias Issuja, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2016 katika Hospitali ya Mt. Gaspar, Itigi, Dodoma alikokuwa akipatiwa Matibabu.
Taarifa kamili itawajia baadae kidogo