Saturday, March 05, 2016

VIDEO YA WIMBO WA MAFIKIZOLO NA DIAMOND KUTOKA MWEZI UJAO


VIDEO YA WIMBO WA MAFIKIZOLO NA DIAMOND KUTOKA MWEZI UJAO

Member wa kundi hilo la Afrika Kusini, Theo, amedai kuwa video ya wimbo huo uitwao Colors of Africa, itaachia mwezi ujao.

"Finally,The Delay is Over,The Most Anticipated Collaboration of Africa's Finest (MAFIKIZOLO ft DIAMONDPLATNUMZ & DJ MAPHORISA) COLORS OF AFRICA, coming out in APRIL,the countdown starts today," Theo ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Video ya wimbo huo ilifanyika December mwaka jana.

Hivi karibuni Theo alidai kuwa collabo yao ni moto wa kuotea mbali.