Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini akitoa maelezo juu ya hatua iliyofikiwa katika ufugaji meza mpya katika ukumbi wa Bunge kwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (mwenye miwani) alipotembelea kujionea hatua ya ukarabati wa Jengo la Bunge ilipofikiwa.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akijaribisha kukaa katika moja wapo ya kiti kilichofungwa katika meza mpya kwenye ukumbi wa Bunge. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini akimpa maelezo juu ya namna viti na meza hizo vitakavyokuwa vinatumika baada ya kukamilika.
Mwonekano wa Meza Mpya zilizofungwa katika Ukumbi wa Bunge.
Ukaguzi unaendelea.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini mara inayofunga meza mpya katika ukumbi wa Bunge maada ya kukagua ukarabati wa Jengo la Bunge.