Mshitakiwa namba moja                katika kesi ya kuhujumu uchumi, aliyekuwa naibu Kamishna                wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki                (Kulia) akiwa na wenzake aliyekuwa Meneja wa Kitengo cha                Huduma kwa Wateja, Habibu Mponezya na Bulton Mponezya                wakiwa katika Mahakama Kuu Tanzania jijini Dar es Salaam                leo wakisomewa shtaka linalowakikabili  la makosa ya jinai                na uhujumu uchumi.
        Watuhumiwa                watatu wa uhujumu uchumi wakisindikizwa na Polisi wakitoka                mahama kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo mara baada                ya kupewa dhamana.
        


 
