Saturday, November 01, 2014

news alert: binti wa miaka 12 atoweka nyumbani kwao temeke, dar es salam, wazazi wanamtafuta

news alert: binti wa miaka 12 atoweka nyumbani kwao temeke, dar es salam, wazazi wanamtafuta

Jina: Mwasiti Abdulrazack Kakurwa. 

Umri miaka 12. 
Rangi ya mwili: Mweusi. 

Mara ya mwisho alivaa T-shirt iliyoandikwa Mnazi Mmoja primary School, na alijifunika mtandio mweusi. Ametoweka jana jioni maeneo ya mtaa wa Berege, Tandika, Temeke, Dar es salaam.
Yeyote atayemuina ama mwenye taarifa zake tunaomba taarifa zipelekwe katika kituo chochote cha polisi