Wednesday, July 08, 2015

WAKAMATWA NA NYAMA YA MBWA ZAIDI YA MIA.



WAKAMATWA NA NYAMA YA MBWA ZAIDI YA MIA.



Nchini Thailand wanaume wawili wamekamatwa na nyama ya mbwa zaidi ya mia wakipeleka sokoni.Sheria ya taifa hiyo inakataza uhuzaji wa kitoweo hicho,Ngozi ya mnyama huyo hutumika kutengenezea gloves za kuchezea golf.Kampeni za kuzuia haki za wanyama zimekua zikisaidia kukataza biashara hiyo pamoja na magonjwa yatokanayo na ulaji wa kitoweo hicho.