Mmoja wa majeruhi wa ajali ya meli ya MV Skagit iliyozama katika eneo la Pungume karibu kilomita 48 kutoka Bandari ya Zanzibar jana, akipata matibabu.
Majeruhi wakizidi kupatiwa huduma ya kwanza baada ya ajali hiyo.
...Huduma za matibabu zikiendelea.
Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja.
(Picha kwa hisani ya http://issamichuzi.blogspot.com/)