Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta muda mfupi kabla ya kufungua rasmi mkutano wa 9 wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta huko Nairobi tarehe 20.7.2015. Waliosimama kulia ni Mke wa Rais wa Kenya Mama Margret Kenyatta na kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho Madame Mathato Mosisili.
Picha na John Lukuwi