Saturday, May 30, 2015

Hili Ndo Jukwaa Ambalo Edward Lowassa Atalitumia Kutangaza Nia LEO Ya Kugombea Urais 2015


Hili Ndo Jukwaa Ambalo Edward Lowassa Atalitumia Kutangaza Nia LEO Ya Kugombea Urais 2015
Leo Mbunge wa Monduli Edward Lowassa atatangaza nia ya kugombea Urais katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha.Maandalizi mbalimbali yanaendelea huku ilinzi ukiimarishwa kila kona.

Mamia ya wananchi wanaendelea kuingia katika uwanja huu kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo Dares salaam,Arusha,Dodoma,Kagera,Mwanza na Mbeya

Kila mtu katika uwanja pamoja na Watanzania wana shauku ya kutaka kufahamu Edward Lowassa atasema nini kuelekea katika uchaguzi wa Rais utakaofanyika wiki ya mwisho ya mwezi oktoba mwaka huu 2015.