Wednesday, April 15, 2015

BASI LA GAMET TRANS LAPATA AJALI



BASI LA GAMET TRANS LAPATA AJALI
Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanya
safari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea limepata ajali jana maeneo ya Kibiti
wilaya ya Rufiji-Utete mkoa wa Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu
anayedaiwa kuwa na tatizo la ulemavu wa akili,lakini kwa bahati mbaya
likamgonga na kufariki papo hapo,taarifa zaidi zinaeleza kuwa baada ya
ajali hiyo basi hilo liliacha njia na kupinduka na kupelekea kifo cha
mtu mmoja aliyegongwa na wengine waliokuwemo ndani ya basi hilo (idadi
ya abiria haikujulikana mara moja)



Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanya safari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea lilipinduka watu wakiwa wanajaribu kuokolewa.

Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanya safari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea.