Friday, April 10, 2015

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUMPA MIMBA MTOTO WAKE WA MIAKA TISA-SHINYANGA




AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUMPA MIMBA MTOTO WAKE WA MIAKA TISA-SHINYANGA

Ama kweli dunia ina mambo, mkazi mmoja mkoani Shinyanga amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kumpa mimba Mtoto wake Wa miaka 9. 



Akitoa utetezi wake Baba huyo alisema alifanya kitendo hicho ili maradhi yaliyokuwa yakimsumbua mke wake yapone baada ya kushauriwa na mganga wa kienyeji kuwa afanye tendo hilo kitanda anachokitumia na mke wake na wakati akifanya tendo hilo lishuhudiwe na na mkewe, hivyo walikaa kikao cha familia na kukubaliana.

Baba Huyo alishangaa mke wake kumgeuka mahakamani.