AJALI MIKUMI: GARI LA Luinzo LAGONGANA USO KWA USO NA gari la Msanga EXPRESS NA KUUWA WATU WANNE
AJALI MIKUMI: GARI LA Luinzo LAGONGANA USO KWA USO NA gari la Msanga EXPRESS NA KUUWA WATU WANNEWatu wa nane wamefariki Dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la Luinzo lililokuwa likitokea njombe kwenda DSM kugongana na gari la Msanga EXPRESS lililokuwa likitokea morogoro kwenda Mahenge wakati likijaribu kulipita lori lililokuwa mbele yake katika Eneo la hifadhi ya Mikumi Barabara ya Iringa Morogoro hapo jana.