Mihangaiko | Hapa na Pale
Hapa na Pale Katika Maisha
Friday, February 20, 2015
TUKOMESHE MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
TUKOMESHE MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
Albino ni Binadamu kama Mimi na wewe, albino ni mwanajamii mwenzetu, ni Ndugu yako na ndugu yangu, Ni familia yako na yangu, Ni kaka ,dada, shangazi ,mjomba , binamu, mtoto wako na wangu...ALABINO NI MIMI NA WEWE.
Newer Post
Older Post
Home