Mwenyekiti wa CCM shina la Essex UK Bi Maryam Seif akiwakilishwa na Mjumbe na mwanachama hai wa CCM (UK) Bw. Bilal akikabidhi msaada wa Deepfreezer kwenye kituo cha Yatima Magomeni Dar es Salaam.
Msaada huo pia ulishirikisha Charity ya Sunrise Development Association Limited (UK). Azma ni kusaidia kituo hicho kupata mradi wa kuwawezesha kujikimu katika kulea Yati
Mama Mlezi kushoto akiwa na mmoja wa Yatima hao na kulia ni kada wa CCM Magomeni.
Baadhi ya Yatima wakiwa na walezi wao.
Bwana Bilal akiwa na mama mlezi na mmoja wa Yatima katika kutoa msaada wa Deepfreezer pamoja na Voltage Regulator.