Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto), kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (kulia) na wafanyakazi wa mfuko huo.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima (wapili kushoto) akifurahi pamoja na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mara baada ya kuwakabidhi tuzo ya Mshindi wa Jumla wa Mahesabu Safi kwa mwaka 2013 katika sherehe zilizoandaliwa na NBAA
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii