Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kifo toka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukiri kuiba shuka la Kimasai katika moja ya maduka yanayouza bidhaa za aina hiyo lililoko mtaa wa uswahilini katikati ya mji wa Moshi. |