Watoto wa Mhe Samwel John Sitta wana furaha ya kusherehekea miaka 72 ya kuzaliwa kwa baba yao mpendwa. Wanatoa salamu za heri, upendo na furaha kwa mzee wao kufikisha miaka hiyo akiwa buheri wa afya na wanamtakia azime tena mishumaa mingine zaidi huku akiendelea kuwapenda kama wanavyompenda.