Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mwili wa marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mke wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Mke wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Mke wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Phili Karashani akiweka shada la maua pamoja na mke wake.
Mashada ya maua yakiwekwa.
Baadhi ya waombolezaji.
Bonny akiwa ameduwaa wakati wa mazishi ya baba yake.
Mzee Phili Karashani akitoa neno la shukrani wakati wa mazishi ya mtoti wake Baraka Karashani.
Mtoto wa marehemu, Baraka Karashani akiwa ameshika picha ya marehemu baba yake.

Kaburi la marehemu Baraka.
Mke wa marehemu, Glory pamoja na watotto, Bonny na Belinda wakiweka udongo katika kaburi.
Baba mzazi wa marehe akiweka udongo katika kaburi la Baraka Karashani.
Phili Karashani na mkewe akiweka shada la maua katika kaburi mtoto wao Baraka Karashani.
Mchungaji akiweka shada la maua.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Amir Mhando akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Baraka Karashani.
Waombolezaji wakiwa na huzuni.
Mafundi wakijengea kaburi.
Waombolezaji
Waombolezaji.
Jeneza likiwa kaburini.
Mchungaji akiongoza ibada ya mazishi.
Waombolezaji.
Waombolezaji.