Monday, November 24, 2014

Pinda ahudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa Anglican Dodoma


Pinda ahudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa Anglican Dodoma

PG4A1228

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungungumza na Askofu Mpya wa Dayosisi ya Centra Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani (kulia) na Askofu  Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania , Dkt. Jacob Chimeledya  katika Ibada ya kumweka wakfu Askofu  Chilongani kwenye Kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).