Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kufafanua uzushi unaoenezwa na baadhi ya wabunge wa bunge hilo kuhusu yeye, na baadhi yao wakisusia kushiriki vikao vya bunge hilo kushinikiza aondoshwe kwenye kamati ya uongozi kitu ambacho amekipinga akitaka wenye madai hayo wawasilishe kwanza madai yao yajadiliwe na yeye ajitetee. mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mbunge wa Bunge hilo Twaha Taslima, aliyekuwa akifafanua mambo ya kisheria kuhusu bunge hilo.
Mbunge wa Bunge hilo Twaha Taslima, aliyekuwa akifafanua mambo ya kisheria kuhusu bunge hilo.Picha na Deus Bonaventure