Mweenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Paking. (Picha na Joseph Senga)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi (CUF), kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking mjini Nzega.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiagana na wananchi wa mji wa Nzega baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking.