Friday, November 14, 2014

MH. LOWASSA AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA JAMII YA WAFUGAJI


MH. LOWASSA AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA JAMII YA WAFUGAJI
Waziri Mkuu Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na sehemu ya viongozi wa jamii ya wafugaji kutoka katika baadhi ya mikoa hapa nchini waliotembelea bungeni leo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii Kanda ya Kati.