Tuesday, November 25, 2014

Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya CCM arudisha fomu





Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya CCM arudisha fomu
Mwenyekiti Mteule katika Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Ndg. Zefrin Lubuva (kulia) akirejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi,Bi. Vicky Mwakasonda katika ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay,jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mteule katika Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Ndg. Zefrin Lubuva akisaini fomu mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi,Bi. Vicky Mwakasonda wakati alipozirudisha katika ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay,jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Oysterbay,Ndg. Joackim Ngonyani.