Sunday, November 16, 2014

Mdau Meshack Ndoje alamba nondozz yake Chuo Kikuu cha Dar es salaam University



Mdau Meshack Ndoje alamba nondozz yake Chuo Kikuu cha Dar es salaam University
 Mdau Meshack Ndoje jana Novemba 15, 2014 kwenye mahafali ya arobaini na nne (44) ya chuo kikuu cha Dar es Salaam katika ukumbi wa mlimani city alikuwa ni mmoja wa walamba nondozz waliotunukiwa Nondozz zao,Mdau Meshack amelamba nondozzz ya Takwimu yaani B.A. Statistics.
Mdau Meshack Ndoje akiwa na baadhi ya ndugu zake waliofika kumsapoti kwenye mahafali hayo.