Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Sikonge mkoani Tabora,
katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Mission juzi.
Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kigwa wilayani Uyui mkoani
Tabora, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa Sikonge mkoani Tabora, mara baada
ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Mission juzi.