|                      Mjumbe                          wa Bunge Maalum la Katiba wa upande wa Zanzibar                          akiweka kura yake ya siri ndani ya sanduku la                          kuhifadhia kura mara baada ya kukamilisha kupiga                          kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba                          inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.                    |                 
|                      Mjumbe                          wa Bunge Maalum la Katiba wa upande wa Zanzibar                          akiweka kura yake ya siri ndani ya sanduku la                          kuhifadhia kura mara baada ya kukamilisha kupiga                          kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba                          inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.                    |                 

  Mjumbe wa Bunge Maalum la                Katiba, Mhe. Shymar Kwegir akiipigia kura Rasimu ya Katiba                inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini                Dodoma.
           Mwenyekiti wa Bunge Maalum la                Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipiga kura yake kwa ajili ya                Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30                Septemba, 2014 mjini Dodoma.
          Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa                Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda akiipigia kura                Rasimu inayopendekezwa 
           Makamu wa Pili wa Zanzibar                ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Seif Ali                Idd akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa                Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
          |                      Mjumbe                          wa Bunge Maalum toka upande wa Zanzibar, Mhe.                          Pandu Ameir Kificho naye akiipigia kura Rasimu                          ya Katiba inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.                    |                 

 Makamu Mwenyekiti wa Bunge                Maalum la Katiba, Mhe. Samia Hassan Suluhu akipiga kura                yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni                hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
          
 Waziri wa TAMISEMI ambaye pia                ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hawa Ghasia                akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni                hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
          
 Mjumbe wa Bunge Maalum la                Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu akiipigia kura Rasimu ya Katiba                inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini                Dodoma.
          
 Mwenyekiti wa Kamati ya                Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge                akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba                inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini                Dodoma.
          
 Waziri wa Katiba na Sheria                ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati namba Tano ya Bunge Maalum                la Katiba, Mhe. Asha-Rose Migiro akiipigia kura Rasimu ya                Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014                mjini Dodoma.
          
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana,                Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum                la Katiba, Mhe. Juma Nkamia akiipigia kura Rasimu ya                Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014                mjini Dodoma.
          
 Waziri wa Habari, Vijana,                Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum                la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiipigia kura Rasimu ya                Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014                mjini Dodoma.
            Wajumbe mbalimbali wa Bunge                Maalum la Katiba,wakichangia hoja wakati wa upigaji kura                Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30                Septemba, 2014 mjini Dodoma.
          |                      Mjumbe                          wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ally Kessy                          akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa                          bungeni hapo  2014 mjini Dodoma.                    |