Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto),
Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge
wa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania
nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi
kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara
yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi leo Oktoba 28,
2014.

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji
wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi
tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara
yake ya siku sita nchini China na Vietnam leo Oktoba 28, 2014

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wenyeji wake katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza
safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku
sita nchini China na Vietnam leo Oktoba 28, 2014.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania
nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini
China na Vietnam jijini Hanoi leo Oktoba 28, 2014.PICHA NA IKULU