Wednesday, October 22, 2014

Rais Jakaya Kikwete Kutunukiwa U-Profesa na Rais wa China



Rais Jakaya Kikwete Kutunukiwa U-Profesa na Rais wa China
Chuo kikuu cha kilimo nchini China kinatarajia kumtunuku Shahada ya juu ya U-profesa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Bila shaka ni kwa kutambua mchango wake wake mkubwa kwa mapinduzi makubwa ya kilimo nchini.

Hongera PROFESSOR JAKAYA KIKWETE.