| Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia . |
| Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo. |
| Mkuu wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi ya Mbuzi dume wakati wa mahali ya wanafunzi wa kidadto cha nne katika shule hiyo. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA |