Tuesday, October 21, 2014

MAKAMU WA RAID DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA AMANI BARANI AFRIKA, LEO JIJINI ARUSHA



MAKAMU WA RAID DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA AMANI BARANI AFRIKA, LEO JIJINI ARUSHA
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo, wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo oktoba 21/2014 katika ukumbi wa Maunt Meru Hotel jijini Arusha.
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo, wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo oktoba 21/2014 katika ukumbi wa Mount Meru Hotel jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani na usalama Barani Afrika, leo oktoba 21/2014 katika ukumbi wa Mount Meru Hotel jijini Arusha.